Beki wa Boli, Hamza enzi hizo akiwa kinda wa miaka 12 Mbeya City

Beki wa Boli, Hamza enzi hizo akiwa kinda wa miaka 12 Mbeya City

Uyu ndie alishikilia bukta ya prince Dube mpaka akaichana wakati anapimwa umri.
Alitakiwa apewe Straight RED kwakua alikua mtu wa mwisho.
Makosa ya kibinadamu yaka mbeba.
Beki wa kati ambaye mzito kuliko gunia la misumari hali inayo msababishia majeruhi ya kila wakati hasa kwenye mechi zenye kasi.
ila utasikia wana simba Yanga alibebwa ile game 🤣🤣
 
Leo ikiwa ni alhamisi basi ni siku ya TBT.

Huyu hapa beki kisiki anayeogopww na fowadi nzima ya Uto, Abdulrazak Hamza, hapa akiwa Mbeya City. Alikuwa na miaka 12 tu ila balaa lake lilikuwa la moto sana.

Kama hukufanikiwa kumuona Victor Costa akicheza basi wewe mtazame tu HamzaView attachment 3235591
Aisee anaonekana ni kinda kabisa yaani katoto haswa. Kwa miaka 12 hapo ni sahihi kabisa aisee wachezaji wa bongo wanajitahidi sana kuwa wakweli kwenye umri wanahitaji pongezi katika hilo.
 
Back
Top Bottom