Beki wa Simba Valentino Nouma hajaitwa timu ya taifa

Beki wa Simba Valentino Nouma hajaitwa timu ya taifa

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Klabu ya Simba ilitangaza kwamba beki wake Valentino Nuoma ameitwa timu ya taifa ya Burkina Faso

Lakin baada ya kufuatilia imegundulika kwamba beki huyo hajaitwa.

Najiuliza

Je nin kimetokea?
FB_IMG_1724940336993.jpg
FB_IMG_1724940303168.jpg
 
Klabu ya Simba ilitangaza kwamba beki wake Valentino Nuoma ameitwa timu ya taifa ya Burkina Faso

Lakin baada ya kufuatilia imegundulika kwamba beki huyo hajaitwa.

Najiuliza

Je nin kimetokea?
Hivi huwa akiitwa timu ya taifa ndio anakuwa mchezaji bora au? Unajiuliza kwa masikitiko yaliyotokana na wewe kupungukiwa na nini ndugu?
 
Back
Top Bottom