Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,063 Reaction score 12,866 Aug 29, 2024 #1 Klabu ya Simba ilitangaza kwamba beki wake Valentino Nuoma ameitwa timu ya taifa ya Burkina Faso Lakin baada ya kufuatilia imegundulika kwamba beki huyo hajaitwa. Najiuliza Je nin kimetokea?
Klabu ya Simba ilitangaza kwamba beki wake Valentino Nuoma ameitwa timu ya taifa ya Burkina Faso Lakin baada ya kufuatilia imegundulika kwamba beki huyo hajaitwa. Najiuliza Je nin kimetokea?
Kete Ngumu JF-Expert Member Joined Nov 21, 2014 Posts 6,656 Reaction score 6,886 Aug 29, 2024 #2 Orketeemi said: Klabu ya Simba ilitangaza kwamba beki wake Valentino Nuoma ameitwa timu ya taifa ya Burkina Faso Lakin baada ya kufuatilia imegundulika kwamba beki huyo hajaitwa. Najiuliza Je nin kimetokea? Click to expand... Hivi huwa akiitwa timu ya taifa ndio anakuwa mchezaji bora au? Unajiuliza kwa masikitiko yaliyotokana na wewe kupungukiwa na nini ndugu?
Orketeemi said: Klabu ya Simba ilitangaza kwamba beki wake Valentino Nuoma ameitwa timu ya taifa ya Burkina Faso Lakin baada ya kufuatilia imegundulika kwamba beki huyo hajaitwa. Najiuliza Je nin kimetokea? Click to expand... Hivi huwa akiitwa timu ya taifa ndio anakuwa mchezaji bora au? Unajiuliza kwa masikitiko yaliyotokana na wewe kupungukiwa na nini ndugu?
Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,063 Reaction score 12,866 Aug 29, 2024 Thread starter #3 Kete Ngumu said: Hivi huwa akiitwa timu ya taifa ndio anakuwa mchezaji bora au? Unajiuliza kwa masikitiko yaliyotokana na wewe kupungukiwa na nini ndugu? Click to expand... Kwa hiyo upotoshaj unaruhusiwa huko ukoloni?
Kete Ngumu said: Hivi huwa akiitwa timu ya taifa ndio anakuwa mchezaji bora au? Unajiuliza kwa masikitiko yaliyotokana na wewe kupungukiwa na nini ndugu? Click to expand... Kwa hiyo upotoshaj unaruhusiwa huko ukoloni?
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 21,470 Reaction score 40,593 Aug 29, 2024 #4 Aisee. ππππ Utopolo wanaifuatilia Simba hatua Kwa hatua...