Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Watanzania kwa gubu hamjambo.Mbona Uniform za Zanzibar mbaya sana
Mbona Uniform za Zanzibar mbaya sanaSifa kubwa ya ngozi nyeusi siku zote ni kutafuta negativity kwenye positivity.
mkuu unataka fashion hadi jeshiniMbona Uniform za Zanzibar mbaya sana
Hilo siyo Jeshi. Ni Jeshi Usu.mkuu unataka fashion hadi jeshini
Wivu utakuuaMatumizi mabaya ya kodi za watanganyika..
Mshahara kote kote
Huwa kila siku najiuliza hili swali.Sasa anahesabika kama yupo likizo ya kikazi ama inakuwaje?
Sasa mgambo watapewaje uniforms nzuri?Mbona Uniform za Zanzibar mbaya sana