Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
Mtoro kaziniSasa anahesabika kama yupo likizo ya kikazi ama inakuwaje?
Mtoro kaziniSasa anahesabika kama yupo likizo ya kikazi ama inakuwaje?
Kwakuwa promotion zinamuhusu itakuwa wanamuhesabu yupo kazini,hata kiongozi wake kaonesha kuwa kampandisha cheo kutokana na upambanaji wake katika michezoSasa anahesabika kama yupo likizo ya kikazi ama inakuwaje?
Sawa na kikosi cha maadil cha Iran kile kinachokamata wadada wasiofuunika vichwaHilo siyo Jeshi. Ni Jeshi Usu.
Huku tunaita Magereza.
Tena Zanzibar wanaita Chuo cha Mafunzo.
Ni askari magereza.Sasa mgambo watapewaje uniforms nzuri?
Mfanyakazi hewa.Kwakuwa promotion zinamuhusu itakuwa wanamuhesabu yupo kazini,hata kiongozi wake kaonesha kuwa kampandisha cheo kutokana na upambanaji wake katika michezo
HATA KUNYAMAZA NAYO NI BUSARA, USIPENDE KUWALAZIMISHA WATU WAKUONE MJINGA.Hilo siyo Jeshi. Ni Jeshi Usu.
Huku tunaita Magereza.
Tena Zanzibar wanaita Chuo cha Mafunzo.
PumbavuHATA KUNYAMAZA NAYO NI BUSARA, USIPENDE KUWALAZIMISHA WATU WAKUONE MJINGA.
HAHAHAHAHAHAAAA....Pumbavu
Kmkm ni askari magereza wapi?Ni askari magereza.
🤣Kama za kwenye Bongo movie