Beki wa Yanga Ibrahim Bacca apandishwa Cheo Jeshini, sasa ni Sajenti

Tukiwaambia Zanzibar ni nchi huru mnakataa, KMKM ni jeshi lipi huku TANGANYIKA?
 
nataman kucheka mabishano ya humu sema ntaonekana mchochezi

ila kiukwel watanzania wengi tuko weupe mnooo kichwani
 
SOMENI BASI ANGALAU KATIBA YA {SMZ} ZANZIBAR, MSITULAZIMISHE KUWAONA VILAZA, DUUUH!
 
Kumbe unaweza kupanda cheo bila ya kufanya kaz kwenye kituo chako cha kaz
 
Duuuu jamaa anapendeza na Jezi za Yanga tu!!Hizo kombati kama BACCA wa Mwaka 1945 kwenye vita kuu ya pili ya Dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…