Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Kwa mechi ya jana Fraga hakuwa Fiti. Ndo kwanza alirejea toka kwao.Huyu kocha kakariri sifa kubwa ya kiungo mkabaji ni kutibua, kusahihisha pale mabeki wanapokosea na kukaa sehemu sahihi lakini mkude hana sifa hizo, Fraga alicheza mechi na biashara kwenye viwanja vibovu lakini bado anambania
Wawa naye karejea toka kwao kuoa mke wa pili.
Miqueson naye jana hakuwa Fiti, ndo kwanza katoka kwao kuoa mke wa kwanza, alilazimisha tu kucheza.
Morrison hakuwa kwenye game na mabeki walimkamia sana.
Ukweli jana wachezaji walicheza katika kiwango Cha chini.