Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah.... Hawa jamaa wanajua kukanda.Mamlaka za usalama nchini BELARUS zimekamata kijana alieshangilia vifo vya raia wa kiberalus na kirusi waliouwawa na kujeruhiwak ktk tukio la kigaidi jijini Moscow kwenye ukumbi wa crocus city hall
Unashangiliaje ugaidi
Wezenu oneni mafunzo Yao ,hawapigi maeneo yakuua ila chamoto unakipataBelarus ni Russia,jamaa wanajuwa kudeal na wakaidi,i salute them.