MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 886
Hayajawa serious na Tanzania mkuu hayo mabeberu, yakiamua kuwa serious hasa, tutatafutana hum.Upo sahihi mkuu. Ila kwa Tanzania mataifa ya magharibi yanataka kupambana na China kwenye maswala ya kiuchumi na kidemokrasia.
Katika uchaguzi huu wanamtaka Lisu huku Uchina ikitaka ccm iendelee kutawala