Belarus inaelekea kuwa kama Venezuela na baada ya hapo ni Tanzania?

Upo sahihi mkuu. Ila kwa Tanzania mataifa ya magharibi yanataka kupambana na China kwenye maswala ya kiuchumi na kidemokrasia.
Katika uchaguzi huu wanamtaka Lisu huku Uchina ikitaka ccm iendelee kutawala
Hayajawa serious na Tanzania mkuu hayo mabeberu, yakiamua kuwa serious hasa, tutatafutana hum.
 
Nikiangalia kitanzi wanachokipitia mataifa hayo kuna uwezekano Tanzania nayo itapitia kitanzi hichohicho kupitia kwa upinzani wa Lisu dhidi ya serikali isiyojali haki za binadamu na uhuru wa mtu mmoja mmoja
Unataka uhuru wa kufanya unachotaka??
[emoji3][emoji3]
 
Sasa Tanzania hapo inaingiaje mkuu? Au ulitaka kumuomgelea huyu kibaraka wa mabeberu mheshimiwa sana lissu
Ibeni tu kura majibu yatapatikana ,kwanza Tzn nani ataikingia kifua ikiwa China alishindwa kwa Zimbabwe? Tunawaomba Wazungu watusaidie kupata haki yetu na maccm yote jela
 
Sawa Sasa wananchi wengi wakichagua upande huo wa Nato si ni wao wameamua kwa Nini pimbi wachache wakomae kubaki na Russia? Wamekataliwa wapige chini vinginevyo kusiwe na uchaguzi iwe Kama China.Urusi Hana faida kwao wa kazi gani?
 
Upo sahihi mkuu. Ila kwa Tanzania mataifa ya magharibi yanataka kupambana na China kwenye maswala ya kiuchumi na kidemokrasia.
Katika uchaguzi huu wanamtaka Lisu huku Uchina ikitaka ccm iendelee kutawala
Kuna mwananchi gani hajui kwamba machina ni manyanyasaji na yamegawiwa tenda kibao za ujenzi na maccm,Bora tugeukie West Kuna utu kidogo ,hiki ndio tunataka Ila sio hao mabwana wa ccm wenye vimacho Kama vya goroli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…