Belarus kujaribu kuokoa jahazi la Urusi, yatoa msaada

Belarus kujaribu kuokoa jahazi la Urusi, yatoa msaada

Hata mimi siielewi hii ni Urussi gani inayohaha kiasi hiki hadi kuomba misaada kutoka Belarus, Iran, N.Korea, Kampuni binafsi ya Wagner, Inakamata wanafunzi wa Kiafrika na kuwalazimisha kuingia vitani, n.k. Yan Urussi sasa imekuwa one among the inferior and powerless countries.
Urusi toka kusema kwamba itaichukua Kyiv kwa muda wa siku tatu na raisi wa Ukraine,Zelensky ajisalimishe au atoroke nchi mpaka kuitisha msaada toka kwa Iran na Belarus?

Maajabu makubwa๐Ÿค”
 
Back
Top Bottom