Trump hajakubaliana na ushindi wa Biden, basi atakua na matatizo. Huku kwetu tuliogo aibu ya kuwa rais wa term moja lakini aibu inayokuja ni kubwa zaidi. Pole sana kwa kukosa mawasiliano.Habar Sky, hujambo. Leo ndiyo naona kwa upande wangu JF inafunguka kama zamani.
Habari za kupoteana, I was 98% incommunicado if total
Sawa na Trump na CCM! Majitu CCM yameiba kura bado yanashangilia "ushindi"! Trump anajua fika ameshindwa, lkn anangagania Ikulu na kuteua mawaziri! Mmoja wa Senetors, amasikitika kuwa it is a pity waamerika wanafaya yanayofanywa na Third world countries ambayo wamekuwa wakiyakemea!
mbona hapo umeniacha njia pandalakini aibu inayokuja ni kubwa zaid
Jina lina akisi yaliomo AKILI TATURaia milioni mia tisa?