Huwenda ufahamu aina ya vikwazo ambavyo Beigium anamukea Israel wewe umekimbilia kwenye uchumi na mambo ya GDP.Vikwazo vya Belgium pekee kwa Israel haviwezi kuwa na madhara makubwa, labda vingekuwa vya Ulaya nzima.
NOTE
While Belgium has a larger overall GDP and higher GDP per capita, Israel's economy is characterized by a stronger high-tech sector and greater resilience, positioning it for a quicker recovery and more robust future growth despite recent challenges like the Iran war.
Belgium has announced sweeping measures targeting Israel over its genocide in Gaza, including sanctions, an expanded arms embargo, and a ban on importing goods and services produced in Israeli illegal settlements in the occupied territories.>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Israeli wenyewe wameanza kulalamika wewe unatumia fikra zako kujibu.>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Habari nzuriWanaukumbi.
Ubelgiji itaitambua taifa la Palestina katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa baadaye mwezi huu, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ubelgiji Maxime Prevot alitangaza Jumanne, akiongeza kwamba vikwazo vitawekwa kwa serikali ya Israeli.
"Palestina itatambuliwa na Ubelgiji katika kikao cha Umoja wa Mataifa! Na vikwazo vikali vinawekwa dhidi ya serikali ya Israeli," Prevot aliandika kwenye X.
Hakukuwa na maoni yoyote kutoka kwa Israeli kuhusu tangazo hilo.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ubelgiji alisema kuwa hatua hiyo itatuma "ishara kali ya kisiasa na kidiplomasia" ili kuhifadhi nafasi ya suluhu ya mataifa mawili, na "kuashiria kulaaniwa kwa matarajio ya Israel ya kujitanua, pamoja na mipango yake ya ukoloni na uvamizi wa kijeshi."
================
Belgium will recognize the State of Palestine at the United Nations General Assembly later this month, Belgian Foreign Minister Maxime Prevot announced Tuesday, adding that sanctions will be imposed on the Israeli government.
“Palestine will be recognized by Belgium at the UN session! And firm sanctions are being imposed against the Israeli government,” Prevot wrote on X.
ADVERTISEMENT
There was no comment from Israel regarding the announcement.
The Belgian foreign minister said that the move would send a “strong political and diplomatic signal” to preserve the chances of a two-state solution, and “mark the condemnation of Israel’s expansionist ambitions, with its colonization programs and military occupations.”
Data za kupikwa hizi kutoka katika vyombo vya Marekani na Israel yenyewe.Vikwazo vya Belgium pekee kwa Israel haviwezi kuwa na madhara makubwa, labda vingekuwa vya Ulaya nzima.
NOTE
While Belgium has a larger overall GDP and higher GDP per capita, Israel's economy is characterized by a stronger high-tech sector and greater resilience, positioning it for a quicker recovery and more robust future growth despite recent challenges like the Iran war.
Data za kupikwa hizi kutoka katika vyombo vya Marekani na Israel yenyewe.
Ndo yale yale ya Iron Dome ndio silaha yenye ulinzi kamili wa anga. Matokeo yake kila siku wahouth wanajipigia Israel huku Iron Dome yao ikiwa imelala kusubiri kudaka nzi na kunguru wanaopita angani.
Kinachoisaidia Israel ni propaganda na misaada mbal mbal kutoka nje. Lakini bila hivyo ingekuwa hoi kiuchumi, kijeshi na kiutawala.
Bahati mbaya wayahudi weusi wengi hawajua kuwa Belgian kunatoka silaha nyingi zinafanya mauaji ya Kimbari Palestina mfano…Habari nzuri
SYENSQO>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Soma na hiii….>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Kampuni ya usafirishaji ya FedEx husafirisha vifaa vya kijeshi kutoka kituo cha kijeshi cha Marekani hadi Israel kupitia uwanja wa ndege wa Liège. Hasa zaidi, husafirisha vipuri vinavyotumika kwa ajili ya matengenezo ya ndege za F-35 kwa kambi ya kijeshi ya Nevatim, ambayo ndege hizi hupaa ili kulipua Gaza. Hii ilifunuliwa na utafiti wa Vredeactie mnamo Juni 2025, miaka miwili baada ya kuanza kwa mauaji ya kimbari dhidi ya wakazi wa Gaza.>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Unachanganya habari vikwazo ambavyo anawekewa Israel siyo vya kiuchumi peke Israel anategemea silaha nyingi kutoka Belgian huenda hujui..Huujui uchumi wa Israel wewe. Hapo Mashariki ya kati nchi zenye uchumi mkubwa ni Saudi Arabia, Uturuki na Israel. Lakini kutokana na udogo wa nchi na idadi ndogo ya wananchi, Israel ndiyo yenye highest per capita, na hiyo inaelezea ubora wa maisha ya watu, ndiyo maana kwa Mashariki ya Kati yote, Israel ndiyo inayoongoza kwa viwango vizuri vya mishahara.
BATS (Angleur), OIP Land Systems (Tournai), and OIP Sensor (Oudenaarde) are wholly owned by Elbit Systems, Israel's largest arms company. The OIP group (Optique et Instruments de Précision) is a manufacturer of optical equipment, mainly for military use, and offering tanks maintenance in Belgium. BATS is an electronics company specialized in the fields of defence and homeland security.>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Taendelea kukufahamisha.>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
issue siyo nchi ndogo hujui vitu vingi kuhusu Belgium na Israel.Belgium ni nchi ndogo Europe!
Kama zile Big EU countries (UK,France,German) zimeshindwa kuitambua Palestina sidhani sidhani vikwazo vya Belgium vitakuwa na impact kubwa.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>