Belgium ndio team yenye nafasi kubwa zaidi ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia 2018

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Saivi story ya dunia katika nyanja ya michezo ni messi,

Everyone anamuongelea Messi,yani imekuwa kero sasa kumsikia huyo messi.

Katika vitu ambavyo wengi wanakisahau ni kuwa hakuna team kutoka America inayoweza kushindana na kuifunga Belgium.

Belgium pamoja na Ufaransa pekee wanaweza iwakilisha Europe bila uwepo wa nchi zingine za Europe na still kombe likabaki Europe.

Mnapomjadiri Messi mkumbuke pia kuna France na German wanajiandaa na michuano hiyo.

Mimi Deadbody nikiwa na akili timamu na afya pia natangaza hadharani bila kuficha chochote kuwa iwapo kombe lisipochukuliwa na Belgium au France nipigwe ban ya maisha kutumia JF na kifungo cha miaka kadhaa gerezani Kwa kosa la kutumia vibaya mtandao Kwa kuwadanganya watu.
 
Shikamoo maiti ya kijana, kumbe wewe ni kama mimi, acha watu warushe mikono lakini kwa miaka hii unapoongelea kombe la dunia unakuwa unaongelea ulaya ya France, Germany na Belgium hakuna timu ya America ya kuwakalisha hawa miamba.

Blazir amashakutana na France official metch za FIFA 5 kati ya hizo yeye kashinda 1 tu, 4 kakalishwa. Mpira uko Ulaya huko kwingine bado wanajifunza.

Washabi wa Brazir wa hapa timu wasioioependa kabisa ni France.
 
Lakini uko ulaya unakosemea wewe ndo kuna vibonde wengi sana. Mfano : Andorra , Lativia , Fores Island yaaani wanazidiwa kwenye FIFA world rank na Taifa Stars
 
ujerumani ni bingwa kwa mara nyingine tena wanakocha wa mbinu nyingi yaani usijeukashangaa Rudger akakaa namba 10
 
German kwa sasa ndio timu hatar zaidi wanatimu ya Taifa yenye vikosi zaidi ya vitatu vikaifunga timu yoyote Belgium bado sana kama uliangalia yale mashindano ya Fifa confideretion cup chile alipopigwa na timu ya tatu ya German huyo Belgium akiingia hata robo fainali kajitahid sana aendelee kuwafunga wakina Gilbrata tu
 
".....Mimi Deadbody nikiwa na akili timamu na afya pia natangaza hadharani bila kuficha chochote kuwa iwapo kombe lisipochukuliwa na Belgium au France nipigwe ban ya maisha kutumia JF na kifungo cha miaka kadhaa gerezani Kwa kosa la kutumia vibaya mtandao Kwa kuwadanganya watu."

Ombi lako limepokelewa na tutalifanyia kazi...LIFE BAN itahusika endapo belgium haitatwaa kombe, asante na karibu tena JF..tuonane 2018
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…