Belgium ndio team yenye nafasi kubwa zaidi ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia 2018

World cup ni michuano ya wanaume sio Kanda ya UEFA, Majina sio mpira na hao Belgium hawana wazoefu wa mikiki ya ushindani mbele ya Brazil, Argentina, German, Potugal, Spain, Italy nk zenye wazoefu wa mikikimikiki
 
1.Germany
2. Brazil
3. Argentina
4. France
5. Spain
6. Belgium
7. Portugal
8. Nigeria
 
Belgium hamna kitu,pia hawakutumia nguvu sana kuqualify as walikuwa kwenye kundi moja na vibonde tupu.
 
juzijuzi tu alitolewa uero na italy kila mbabe na mbabe mwezie
 
Belgium hawana kocha wa kuchukua ubingwa

Martinez hawezi kushinda ubingwa wa Dunia hata ukimpa miaka millioni kumi. Hajui tactics au strategies nyingi za kutumia na timu tofauti. Anajua kucheza kwa style moja tu.
 
Umeona vijana wa Jogoo! Ufaransa kwa kiswahili, France Kiingereza na Франция kirusi! Wanachukua Kombe mapemaaa! Labda mjerumani kwa mbaali
 
juzijuzi tu alitolewa uero na italy kila mbabe na mbabe mwezie

Il sio belgium bado sana italy ni giant soka la ulaya sawa na german belgium anawapiga sana wakina estonia
 
Il sio belgium bado sana italy ni giant soka la ulaya sawa na german belgium anawapiga sana wakina estonia
spain alitolewa round ya kwanza world cup ya 2014 tena akiwa bingwa mtetezi hivyo kuwa mpole tuone miamba ya soka inavyopambana
 
Lakini uko ulaya unakosemea wewe ndo kuna vibonde wengi sana. Mfano : Andorra , Lativia , Fores Island yaaani wanazidiwa kwenye FIFA world rank na Taifa Stars
We jamaa hatari sana.....!!!! Taifa star siyo wa mchezo mchezo...aiseee
 
Argentina 2naenda kubeba kombe.

King Messi
The little magician Dybala
De maria
Aguero
Higuain
Kazi kwenu wajombaa___msituangushe
 
spain alitolewa round ya kwanza world cup ya 2014 tena akiwa bingwa mtetezi hivyo kuwa mpole tuone miamba ya soka inavyopambana

Hata brazil bingwa mara 5 wa world cup kihistoria sio kwamba hafunguki wanapiga sana tu ila kwa sasa timu zenye nguvu ni German na Brazil
 
Chuki yako kwa Messi ndio uhalisia wa kandanda? Yes, German na France wako vizuri, lkn mtindio uliokufanya uijumuishe na Belgium
 
Lakini uko ulaya unakosemea wewe ndo kuna vibonde wengi sana. Mfano : Andorra , Lativia , Fores Island yaaani wanazidiwa kwenye FIFA world rank na Taifa Stars
America vibonde ndio wa kumwaga mifano michache ni Haiti, Panama, Antigua, Bahamas, Cuba, Bolivia, Nicaragua, Honduras na nyingine kibao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…