criticalbutstable
New Member
- Sep 23, 2017
- 4
- 3
France wanatimu nzuri ukiangalia mchezaji mmoja mmoja lakini uchezaji wao ni wakawaida mmno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap yap.
German na brazil hizi ndo timu zinazovutia mno kwa sasa
juzijuzi tu alitolewa uero na italy kila mbabe na mbabe mwezieGerman kwa sasa ndio timu hatar zaidi wanatimu ya Taifa yenye vikosi zaidi ya vitatu vikaifunga timu yoyote Belgium bado sana kama uliangalia yale mashindano ya Fifa confideretion cup chile alipopigwa na timu ya tatu ya German huyo Belgium akiingia hata robo fainali kajitahid sana aendelee kuwafunga wakina Gilbrata tu
Belgium hawana kocha wa kuchukua ubingwa
juzijuzi tu alitolewa uero na italy kila mbabe na mbabe mwezie
spain alitolewa round ya kwanza world cup ya 2014 tena akiwa bingwa mtetezi hivyo kuwa mpole tuone miamba ya soka inavyopambanaIl sio belgium bado sana italy ni giant soka la ulaya sawa na german belgium anawapiga sana wakina estonia
We jamaa hatari sana.....!!!! Taifa star siyo wa mchezo mchezo...aiseeeLakini uko ulaya unakosemea wewe ndo kuna vibonde wengi sana. Mfano : Andorra , Lativia , Fores Island yaaani wanazidiwa kwenye FIFA world rank na Taifa Stars
spain alitolewa round ya kwanza world cup ya 2014 tena akiwa bingwa mtetezi hivyo kuwa mpole tuone miamba ya soka inavyopambana
America vibonde ndio wa kumwaga mifano michache ni Haiti, Panama, Antigua, Bahamas, Cuba, Bolivia, Nicaragua, Honduras na nyingine kibao.Lakini uko ulaya unakosemea wewe ndo kuna vibonde wengi sana. Mfano : Andorra , Lativia , Fores Island yaaani wanazidiwa kwenye FIFA world rank na Taifa Stars
Washabiki wa Blazir ni kama wa simba na yanga yaani wazee wa kufuata mkumboArgentina,Brazil na Spain siku hizi zimebaki jina tuu.
Blazir anavutia kwa lipi? au kwa kupigwa 7-1 kwenye uwanja wake..
German na brazil hizi ndo timu zinazovutia mno kwa sasa