Bella na Ommy Dimpoz, Ni kweli hamjui hili kosa kubwa?

Bella na Ommy Dimpoz, Ni kweli hamjui hili kosa kubwa?

watu wengine mnapenda kudodosa vitu vidogovidogo utadhani we mwenyewe unakielewa kiswahili vizuri.kikubwa wameeleweka mkuu.wimbo jinsi ulivyo mzuri hata muda wa kuuchambua neno mojamoja cjui unautoa wapi?wimbo uko poa we ndo unataka kuutia doa.
 
Nimepokea ushauri wako, nitafanyia kazi kwenye single yangu nyengine inayoitwa 'nani kama baba'

hahaha nimejikuta namwamsha mtu kwa kicheko mida hii....nikipewa talaka hope utakua wakili wangu!
 
umechukua kipande tu, hapo amesema 'heshima kwa mama, uliteseka siku ya kunitoa dunia' hapi pia hujaelewa alichomaanisha?
Ni katika kutafuta vina tu viendane ila wimbo uko vizuri zaidi ya maelezo
 
Mtunzi ni mkongo, kuongea kiswahili kwao ni shida lakini hakuna kilichoharibirika.
Tumeelewa alimaanisha nini.

🎶🎵🎼 Nani kama mamaaa 🎼🎵🎶
 
Back
Top Bottom