watu wengine mnapenda kudodosa vitu vidogovidogo utadhani we mwenyewe unakielewa kiswahili vizuri.kikubwa wameeleweka mkuu.wimbo jinsi ulivyo mzuri hata muda wa kuuchambua neno mojamoja cjui unautoa wapi?wimbo uko poa we ndo unataka kuutia doa.
umechukua kipande tu, hapo amesema 'heshima kwa mama, uliteseka siku ya kunitoa dunia' hapi pia hujaelewa alichomaanisha?
Ni katika kutafuta vina tu viendane ila wimbo uko vizuri zaidi ya maelezo