Kila msanii??????Diamond kafanya mapinduzi makubwa sana kwenye muziki wa kizazi kimpya, yaani amekuwa kama SI unit ya muziki huo, maana kila msanii lazima amkopi, au amtaje au atafute "beef" nae ili aweze kuuza kazi yake
Kila msanii ameona aweke kionjo cha salome mpk kero sasa huyu bele 9 kulikuwa hakuna haja ya kuweka kionjo cha saidaHair style ya TECKNO, alafu beat ka mix ya darasa, Salome ya platnumz na saida karoli, rhymes flan za saida karoli.....Hawa wasanii naona wanatembelea nyota ya saida karoli sasa
Vocals mbaya kama nnMasikio yangu yatakuwa hayana uwezo wa kutambua mziki mzuri kama hii ngoma ni kali.
Masikio yangu yatakuwa hayana uwezo wa kutambua mziki mzuri kama hii ngoma ni kali.