joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kweli watu tupo tofauti...yani nyimbo ya hovyo ivo afu eti mtu anaona ngoma nzuri duh. Huyu katumwa itakuaMasikio yangu yatakuwa hayana uwezo wa kutambua mziki mzuri kama hii ngoma ni kali.
Umeonaeeee........buuuure kabisaKila msanii ameona aweke kionjo cha salome mpk kero sasa huyu bele 9 kulikuwa hakuna haja ya kuweka kionjo cha saida
Ben Paul tena?Daudi Mchambumechanganya8927379 said:Nyimbo mzuri sana.
Safi Ben Paul
Wewe jamaa mnoko.Kijana wa Ridhwani Kikwete huyu.
Kuzaa mtoto mzuri wa kike kwenye hii dunia ni hatariAma kwa hakika masikio yetu yalisikiliza nyimbo mbili ndani ya huu mwezi mpka nafikiri wengine walianza kuchoka. Kila kona ilikuwa ni Salome ya Diamond au Muziki ya Darasa.
Sasa Belle 9 ni kama kaja kujibu mapigo ya hizi ngoma mbili.
Sikiiza mdundo na mapigo alafu utagundua kitu.
Waliokuwa wanasema Belle 9 ana gundu hapa amewakata kauli na kudhiirisha muziki sio umahiri pekee na timing + kuielewa biashara hii.
NB; wimbo huu umetengenezwa kabla ya Salome na Muziki.
Kweli kabisa hujakosea hata mimi nimesikia hivyohivyo tena melody za muziki ndio zinasikika zaidi.Iko vzuri....kuna melody za mziki wa darssa na salome