joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Belle nine kama akitulia ni msanii mkali sana, kwa sababu ana local na international swag kama wizkid, ana uwezo wakuimba katika beat yoyote kama wizkid ila naona hajatulia, mimi badala ya diamond platnumz huyu ni msanii wangu namba mbili ninaye mkubali.