Unamaanisha nini?Kijana wa Ridhwani Kikwete huyu.
Uchafu mtupuu........Ipo vizuri
Kweli watu tupo tofauti...yani nyimbo ya hovyo ivo afu eti mtu anaona ngoma nzuri duh. Huyu katumwa itakua
Bureee kabisa!sion jipya labda show la mademu ovyoo kuliko maelezo hakuna wimbo hapo
Hapo hakuna kitu, hakuna Kipya chochote wala hakuna ubunifu wowote, kuna makosa mengi sana. Kwa mfano...
1/KUIGA.
-Wimbo wa Diamond(Salome)
-Beat ya Darasa(Muziki)
-Video ya Ney wa Mitego(Yenye muundo huo huo wa kuwakaribisha utitiri wa 'malaya' kwenye jumba ili kufanya starehe)
2/UFUSKA.
-Sidhani kama watu wenye heshima zao na wastaarabu wanaweza kuifurahia video yoyote yenye kuwaanika mabinti nk.
Nyimbo nzuri sema watu huy jamaa amnaga time nae wangine mnasema arudie stayle za nyuma huku hizo nyimb hazikuwah kumpa tuzo hii ni nyimbó Kali sana nimeingalia youtube mara.20 nasikitishwa na wivu wa kimaskini kama huuSijaelewaaa
Ya kawaida sana
[emoji87][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu nimeelewa ujue[emoji23]khaaMafi gambwa