Belle 9 ajibu mapigo ya Darasa na Diamond kwa kishindo

Belle 9 ajibu mapigo ya Darasa na Diamond kwa kishindo

Kawaida saanaa...... kwanza kaharibu. si level zake.
 
Kweli watu tupo tofauti...yani nyimbo ya hovyo ivo afu eti mtu anaona ngoma nzuri duh. Huyu katumwa itakua
Bureee kabisa!sion jipya labda show la mademu ovyoo kuliko maelezo hakuna wimbo hapo
Hapo hakuna kitu, hakuna Kipya chochote wala hakuna ubunifu wowote, kuna makosa mengi sana. Kwa mfano...
1/KUIGA.
-Wimbo wa Diamond(Salome)
-Beat ya Darasa(Muziki)
-Video ya Ney wa Mitego(Yenye muundo huo huo wa kuwakaribisha utitiri wa 'malaya' kwenye jumba ili kufanya starehe)

2/UFUSKA.
-Sidhani kama watu wenye heshima zao na wastaarabu wanaweza kuifurahia video yoyote yenye kuwaanika mabinti nk.
Sijaelewaaa
Nyimbo nzuri sema watu huy jamaa amnaga time nae wangine mnasema arudie stayle za nyuma huku hizo nyimb hazikuwah kumpa tuzo hii ni nyimbó Kali sana nimeingalia youtube mara.20 nasikitishwa na wivu wa kimaskini kama huu
 
Huyu dogo alishawahi kusema eti Diamond anamzidi connections tu [emoji1]
 
SIJUI LAKINI HUENDA NIKAWA SIUJUI VIZURI MZURI NI UPI ILA KUSEMA KAJA KUMPITA DARASSA NA HUU WIMBO NI DHARAU KABISA😎
 
Darasa kawapeleka mbio sana vijana mpaka wameanza kudurufu mapigo yake, kweli [HASHTAG]#MUZIKI[/HASHTAG] inawakimbiza
 
Ha ha ha..huu wimbo naupa kama 55-60%...sio hitsong bro. N wimbo wa kawaida tu kama zingne za akina giggy money ft matonya
 
Back
Top Bottom