Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Ahsante sana!Ngoja nijipakulie zangu nimsikilize Belle 9 maana baada ya Kiba ni yeye....Namkubali sana.
https://dl.dropboxusercontent.com/c...1EiYdeQXGL4hjqV6bUznG7IrSAqSy9P77gm5Ncfz?dl=1
kaka yako nae anazidi jitafuta tu......
Hiyo link yako inahusu nini kwanza? Tusipotezeane muda bure.
Hiyo link yako inahusu nini kwanza? Tusipotezeane muda bure.
link ishawekwa na muanzisha thread tena ni direct download hizi link nyingine za nini tena
Kwani humjui bi chamumbea data? Utadhani kaombwa vile.
Kwanini usianzishie uzi wake mwenyewe?Eti tusikilize wenyewe wewe hujasikiliza au?
Wewe data mtu wa ajabu sana.
Usipaniki.. ni lilnk ya KING watu hiyo.
Mi sio "bi".... umemsikia KING WAKO.. uhaaar mtpu
Are you out of ur mind. Siwezi . Nimeusikia ni upepooo,,,kivuli cha msanii.
jamani instagram wema amekinukisha huko