Belle 9 katisha, chukua dakika 3 kusikiliza track yake mpya

Belle 9 katisha, chukua dakika 3 kusikiliza track yake mpya

Belle9 hajawahi kuniangusha,ngoja niupakue huu wimbo
 
Sina shida kabisa na belle 9.,, hajawah kosea
 
songi la kawaida sana ila kale kakibwagizo ndio kana rhythm ya ukweli
 
link ishawekwa na muanzisha thread tena ni direct download hizi link nyingine za nini tena

Kwani humjui bi cha umbea data? Utadhani kaombwa vile.
 
Last edited by a moderator:
ngoma mpya ya King wenu feat.AY.

sikilizeni wenyewe.

Kwanini usianzishie uzi wake mwenyewe?Eti tusikilize wenyewe wewe hujasikiliza au?
Wewe data mtu wa ajabu sana.
 
Last edited by a moderator:
Usipaniki.. ni lilnk ya KING watu hiyo.
link ishawekwa na muanzisha thread tena ni direct download hizi link nyingine za nini tena

Mi sio "bi".... umemsikia KING WAKO.. uhaaar mtpu
Kwani humjui bi chamumbea data? Utadhani kaombwa vile.

Are you out of ur mind. Siwezi . Nimeusikia ni upepooo,,,kivuli cha msanii.
Kwanini usianzishie uzi wake mwenyewe?Eti tusikilize wenyewe wewe hujasikiliza au?
Wewe data mtu wa ajabu sana.
 
Usipaniki.. ni lilnk ya KING watu hiyo.

Mi sio "bi".... umemsikia KING WAKO.. uhaaar mtpu

Are you out of ur mind. Siwezi . Nimeusikia ni upepooo,,,kivuli cha msanii.

nadhani jambo la kiheshima ungeanzisha thread tofauti
 
nilimtag nifah ... ndio noble man wa huyo king wao,. yeye ndo atamuanzishia thread.

Hahahaaa,pole bwana data jana umenikuta kwenye mood mbaya.
Ahsante kwa link.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom