Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,262
Kituko ninachokikumba ni cha rafiki yangu wa shule ya msingi Theresia, yeye alikuwa anaishi karibu na shule lakini alichokuwa anakifanya anaamka mapema anakuja nyumbani kunifuata kisha tunaenda tena shule na adhabu ya kuchelewa tunapewa pamoja,"- Belle 9
"Halafu mimi nilikuwa kichwa kuliko yeye, maana alikuwa ananitegemea kwenye vitu vingi vya darasani na sikuwahi kuelewa kwanini alikuwa anakubali tupate adhabu na kwanini yeye alikuwa hawezi tu kwenda shule moja kwa moja hadi anifuate mimi"- Belle 9