Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Diamond atabak kuwa diamond tu.... Mengine bla blaa tu. .... Kwan wao wanakuaga wap... Hawatowezaaaaaa!!!Diamond kaiba idea ya Belle 9 kuimba Salome. Ommy Dimpo alitaka kuimba na Davido kawahi yeye. Man Fongo alitaka kutoa single na Ne Yo Diamond kamfanyia vigisu. Na Sasa hivi anamroga Darasa. Yule mtoto ana roho mbaya sana yule. Ndio maana kazaliwa Tandale.
Vitamin muziki ilikuwa poa sanaeast africa radio wanamshauri vibaya huyu belle,nyimbo yake ya mwisho kali ni nilipe nisepe zilizofuatia pumba tupu