Belle 9: Wazo la Diamond ku sample Salome mimi nilikuwa nalo kabla yake

Belle 9: Wazo la Diamond ku sample Salome mimi nilikuwa nalo kabla yake

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061

Msanii Belle 9 amekuja juu baada ya kuambiwa ameiga kuweka vionjo vya salome kwenye nyimbo yake
msanii huyo amesema wazo la ku sample wimbo huo alikuwa nalo kabla ya Diamond ajabu Diamond akatoa wimbo kabla yake
 
wameanza mmxiiuuu!!
wazo hukulifangia kazi!
Leo limeshinr bla bla blaa

beletisa we ni mwanamuziki mzurii mbona
 
Diamond kaiba idea ya Belle 9 kuimba Salome. Ommy Dimpo alitaka kuimba na Davido kawahi yeye. Man Fongo alitaka kutoa single na Ne Yo Diamond kamfanyia vigisu. Na Sasa hivi anamroga Darasa. Yule mtoto ana roho mbaya sana yule. Ndio maana kazaliwa Tandale.
 
MO11 siku hizi habari Bila diamond ni kama fununu.. Na mtoto wa diamond ndio mtoto wa taifa. Fanya TATHMINI utagundua nayo Sema ni kweli
 
Diamond kaiba idea ya Belle 9 kuimba Salome. Ommy Dimpo alitaka kuimba na Davido kawahi yeye. Man Fongo alitaka kutoa single na Ne Yo Diamond kamfanyia vigisu. Na Sasa hivi anamroga Darasa. Yule mtoto ana roho mbaya sana yule. Ndio maana kazaliwa Tandale.
Diamond atabak kuwa diamond tu.... Mengine bla blaa tu. .... Kwan wao wanakuaga wap... Hawatowezaaaaaa!!!
 
Mimi pia hilo wazo nilikuwa nalo kbla ya diamond, and of course kabla ya belle 9...wameniibia wazo langu..

[HASHTAG]#BringBackMyWazo[/HASHTAG]
 
Hata angetoa kabla ya mondi still usingekuwa kama Wa mondi
Mondi ni mondi na yeye ni yeye
 
Back
Top Bottom