Belle 9: Wazo la Diamond ku sample Salome mimi nilikuwa nalo kabla yake

Belle kwenye hiyo clip kaongea tofauti na ulichokiandika,.
 
Mond bin laden a.k.a chafu kabisa roho mbaya,huyu kijana sio bure lazima alienda ngende kusafisha nyota!
 
Muacheni Diamond apasue anga. Mtoleeni uchawi............

Hizo ni kiki uchwara.
 
Kwa style hii Diamond kufulia bado sana, maana hata akikaa kimya haishi kuongelewa
 
cku d akiliwa tigo pesa na ikashine basi watakuja na kusema d kawaibia idea ...misanii ya tanzania bhana kwanza kubalini uwezo wa d na mjifunze kupitia kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…