rama bendu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 310
- 220
Belle kwenye hiyo clip kaongea tofauti na ulichokiandika,.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndio wimbo mbovu kabisa kutoka kwa Bell 9
Watz mmekalia majungu tu belle 9 katoa nyimbo mbili kali vitamin musik na shauri zao zote zimefanya vízur leo hii mnakuja kuongea pumba hapaeast africa radio wanamshauri vibaya huyu belle,nyimbo yake ya mwisho kali ni nilipe nisepe zilizofuatia pumba tupu
Ndipo tunakoelekeakuna mtu atakuja kusema alikuwa ana mpango wa kumchukua zari ila domo akawahi...Ni muda tu