Belouizdad ni timu mbovu sana, Yanga wasiwe na presha

Wewwewe tema mate chini. Ule mpira wanaopiga hao jamaa hapa tz hakuna timu ya kujiamini 💯%
 
Wewwewe tema mate chini. Ule mpira wanaopiga hao jamaa hapa tz hakuna timu ya kujiamini 💯%
Mpira ni kujipanga timu kwa approach sahihi na kuzitumia nafasi. Huo huo mpira unaousifia hao Belouizdad ila kwa Medeama walifungwa goli mbili. Yanga wakichanga karata zao vizuri wanawafunga vizuri tu. Tukumbuke kuwa Yanga alistahili kuondoka na ushindi kule Ghana ila walinyimwa goli la halali kabisa wakati Belouizdad kachapika huko. Mbinu sahihi na kutumia nafasi ndilo la umuhimu.
 
Nimeongea baadae kidogo ya kuangalia mechi yao juzi
 
Nimeongea baadae kidogo ya kuangalia mechi yao juzi
Kumbe umeanza kuwafatilia juzi tu? Anza kuwafuatilia tokea nyuma ili uwajue vizuri. Hata Yanga ukiangalia walivyowachakaza Medeama hao Belouizdad lazima watakuja kwa tahadhari sababu ataona timu imebadilika.

Jambo la mwisho ni kwamba tokea Belouizdad wacheze na Yanga, hakuna mechi yoyote walioshinda. Huku Yanga baada ya kucheza Belouizdad hakuna mechi waliofungwa na wameshinda mchezo mmoja na kama waamuzi wangekuwa makini au kungekuwa na V.A.R basi Yanga wangekuwa wameshinda michezo miwili hadi sasa.
 
Kama washambuliaji ni Guede na Mzize tusubiri matokeo.
 

Umeona mechi za Ahly Vs Belouizdad na kuona za mkakati na mchongo lakini uneshindwa kuona Mechi ya Yanga Vs Belouizdad? [emoji3][emoji3]
 
Facts ni UTO kafa 3 bila mechi ya kwanza.
 
Labda wewe ndio una press
Wenyewe hiyo mechi hata hawazungumzii
Kinachowaumiza vichwa ni namna gani watapata sare na Al Ahly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…