Below za mtumba

Below za mtumba

kiboko samson

Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
73
Reaction score
74
Ndugu zangu nipoo morogoro nataka kwenda dsm kununua bei za mifuko ya kichina ya kwende sokoni na safari ndogo ndogo
Kama ilivyoo kwenye picha nilikuwa naomba kujua bei ya belo lake bei gani na sehemu gani yanapatikana kama unafahamu
Naomba msaada wako
Screenshot_20190627-142420.jpeg
IMG_20190627_120456_4.jpeg
 
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Vip kuhusu bei na pale mnazi mmoja maeneo gani hasa nifikee moja kwa moja kama unaweza nisaidia pia
Unaweza nicheki 0767803829 kama unaweza nipatiaa huo msaada zaidi
 
Back
Top Bottom