kiboko samson
Member
- Oct 14, 2013
- 73
- 74
Ndugu zangu nipoo morogoro nataka kwenda dsm kununua bei za mifuko ya kichina ya kwende sokoni na safari ndogo ndogo
Kama ilivyoo kwenye picha nilikuwa naomba kujua bei ya belo lake bei gani na sehemu gani yanapatikana kama unafahamu
Naomba msaada wako
Kama ilivyoo kwenye picha nilikuwa naomba kujua bei ya belo lake bei gani na sehemu gani yanapatikana kama unafahamu
Naomba msaada wako