Ben Kinyaiya afunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi

Hahahaaaaa hatari kuna mtu ungeniletea nahisi kama mtamu mtamu hivi ....

πŸ™‡πŸ½β€β™€οΈπŸ™‡πŸ½β€β™€οΈakili za usiku

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ninong'onedhe bas...nan hyo
 
Saa 5:39 usiku napitia uzi huu, nimecheka hadi mama watoto kashtuka nakuja sebureni kuangalia kuna nini....nimemwambia ni kBen Kinyaiya kaoa "mreeeeeeeembo"
 
Saa 5:39 usiku napitia uzi huu, nimecheka hadi mama watoto kashtuka nakuja sebureni kuangalia kuna nini....nimemwambia ni kBen Kinyaiya kaoa "mreeeeeeeembo"
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…