Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,745
- 11,267
hujalala mkuu?πππππππππππππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hujalala mkuu?πππππππππππππππ
nnaraha gan mie mkuuπhujalala mkuu?
Kasi ya viwanda hii.Huu Mwaka nadhani utakuwa na mambo mengi sana. Hii ni February mambo ndiyo hivi... sijui hadi tufike December mambo yatakuwaje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maimartha yupo wapiKweli? Labda muvi jamani... Huyu si alikuwa mchumba wa Maimartha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahah duhHuu Mwaka nadhani utakuwa na mambo mengi sana. Hii ni February mambo ndiyo hivi... sijui hadi tufike December mambo yatakuwaje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii id yako nikiiona huwa nakumbuka eneo fulani hivi, we mtu wa Njombe?
Mkuu hii id yako nikiiona huwa nakumbuka eneo fulani hivi, we mtu wa Njombe?
Sent using Jamii Forums mobile app
maimartha wa jesse ni mtamu sana.Beni angeoa hapo
Vipi unatokea maeneo ya huko mkuuMkuu hii id yako nikiiona huwa nakumbuka eneo fulani hivi, we mtu wa Njombe?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]apo kila msemo na maana ykeKweli nimeamini utamu wa pipi ni mate yako mwenyewe!!!
Kipendacho roho hula nyama mbichi
Kitanda usicholalia, hujui kunguni wake!
Adhabu ya kaburi, aijuae maiti
Siri ya mtungi, aijuae kata!
Lakini yote tisa, kumi ni "Pilipili usiyoila, yakuwashia nini!"
Hulaliii we si umeoa lakini...chaa πππKhaaaaa [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]???[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Bila shaka u mzima tununu wangu..π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]apo kila msemo na maana yke
[emoji134][emoji134][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji37][emoji37][emoji37][emoji25][emoji25][emoji25]Kweli nimeamini utamu wa pipi ni mate yako mwenyewe!!!
Kipendacho roho hula nyama mbichi
Kitanda usicholalia, hujui kunguni wake!
Adhabu ya kaburi, aijuae maiti
Siri ya mtungi, aijuae kata!
Lakini yote tisa, kumi ni "Pilipili usiyoila, yakuwashia nini!"
Jomoniii tununu i miss you big big[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Bila shaka u mzima tununu wangu..[emoji39]