Ben Kinyaiya afunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi

Ben Kinyaiya afunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi

Demu ana sura mbuzi..tabasamu la ng'ombe. Lidemu linaweza kuwa linamfyonkola Ben.
Tizama mkono wa anaedaiwa kuwa ni mke kwanza amevaa saa ya kiume na mkono aliovaa saa una misuli kama Shoziniga vile huku Ben mkono wake ukiwa laini kama kisigajiru.
Ngastuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli nimeamini utamu wa pipi ni mate yako mwenyewe!!!

Kipendacho roho hula nyama mbichi

Kitanda usicholalia, hujui kunguni wake!

Adhabu ya kaburi, aijuae maiti

Siri ya mtungi, aijuae kata!

Lakini yote tisa, kumi ni "Pilipili usiyoila, yakuwashia nini!"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Tatizo ni pale moyo wako unapopingana na kile ulichokiandika....nimeandika tu[emoji124]

"heart broken"
ha ha ha ha,haya mambo ya uzuri na ubaya huwa hayaeleweki,mwingine anaweza kusema yeye ni mzuri ila kwa wengine wakamuona yeye ni kituko tu.
 
ha ha ha ha,haya mambo ya uzuri na ubaya huwa hayaeleweki,mwingine anaweza kusema yeye ni mzuri ila kwa wengine wakamuona yeye ni kituko tu.
Natamani nijue opinion yako ya ukweli ukweli kabisa, kutoka moyoni mwako yaani...achana na hivi ulivoandika, natamani sijui kwanini...[emoji3]

"heart broken"
 
Back
Top Bottom