Ben kinyanya ndio nani?
Kwani ben yule sio chakula?
binadamu hatuishi maneno, kwa mfano kwa sasa wengi wetu tunambeza 'Nassib Abdul' kwa kumwita 'domo' na majina mengi ya ajabu, ambayo asilimia kubwa ni kuhusu mdomo wake ..........leo akiamua kufanya mbwembwe ili kuweka mdomo sawa , najua bado tutamsema vibaya tu!
ahahahahahhah hili pozi hata mimi silipatii hivi!Wasema Waarabu wa Pemba wanajuana kwa Vilemba!