Ni watu sawa ila kwenye kufumuliwA malinda mhhKwani wanawake nanyi si watu!!
kigosi haoni ndani,hawa ndio wale wakugombania poda na demu wake[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wanaume wa darisalaaama banasipat picha hiyo dressing table yake, itakuwa na vipodozi vingi hiyo kuliko hata dressing table za wanawake.
acheni kufatilia life styl za watu........kwani kuna kifungu kwenye vitabu vya dini kinacholimiti wanaume kujiremba?
Picha tafadhari!As a celebrity kujiweka msafi ni haki lakini kujiongezea mapambo mikogo na madoido ikiwemo kutumia make ups za wanawake kunaacha maswali mengi na kupunguza urijali wako kama mwanaume.
Dressing table inapofananaa na ya wanawake unataka tukueleweje, mdogo mdogo Ben usije rusha ngumi siku moja.
pacha wa mpoki??? nimecheka sana hapo mkuu.Jamaa tayari ni hb sasa sijui anaongeza vikolombwezo vya nini........
We muache amuudhi mwenyezi Mungu siku moja ataamka asubuhi...ataenda kwenye dessing table akute amegeuka pacha wa Mpoki.
Simiyu.ANAISHI MKOA GANI HUYO?
Ila kwenye Bible mwanamke ali elekezwa kujipamba kwa ajili ya Mumewe,Sasa hili ya mwanaume kujipamba mpaka kwa mikufu na vishaufu sijui ampendezeshe nani,aah! haya vijana watanashati.We kila kitu unataka kiwe na kifungu kwenye hivyo vitabu, huwezi kutumia common sense na kuangalia mazingira harisi ukajiongeza.
Mkuu na we unajirembaga nin,acheni kufatilia life styl za watu........kwani kuna kifungu kwenye vitabu vya dini kinacholimiti wanaume kujiremba?