BEN KINYAIYA: Thats too much Bro

BEN KINYAIYA: Thats too much Bro

Unajua kuna wanaume ambao wanakua na hormoni za kike nyingi kuliko kawaida[na wanawake pia] aina ya watu hawa ingawa ni rijali lakini wanakua na vitabia vya kike[kwa wanawake wanakuwa na tabia za kiume] kwa yeyote anayejitambua na kutaka tiba zipo.
 
sipat picha hiyo dressing table yake, itakuwa na vipodozi vingi hiyo kuliko hata dressing table za wanawake.
kigosi haoni ndani,hawa ndio wale wakugombania poda na demu wake[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wanaume wa darisalaaama bana
 
acheni kufatilia life styl za watu........kwani kuna kifungu kwenye vitabu vya dini kinacholimiti wanaume kujiremba?

We kila kitu unataka kiwe na kifungu kwenye hivyo vitabu, huwezi kutumia common sense na kuangalia mazingira harisi ukajiongeza.
 
As a celebrity kujiweka msafi ni haki lakini kujiongezea mapambo mikogo na madoido ikiwemo kutumia make ups za wanawake kunaacha maswali mengi na kupunguza urijali wako kama mwanaume.

Dressing table inapofananaa na ya wanawake unataka tukueleweje, mdogo mdogo Ben usije rusha ngumi siku moja.
Picha tafadhari!
 
Binafs sipendi mwanamme anayejipamba kama mwanamke,wakat mwingine mwanamme unatakiwa kuwa mgumu atiiii
 
Jamaa tayari ni hb sasa sijui anaongeza vikolombwezo vya nini........

We muache amuudhi mwenyezi Mungu siku moja ataamka asubuhi...ataenda kwenye dessing table akute amegeuka pacha wa Mpoki.
pacha wa mpoki??? nimecheka sana hapo mkuu.
 
We kila kitu unataka kiwe na kifungu kwenye hivyo vitabu, huwezi kutumia common sense na kuangalia mazingira harisi ukajiongeza.
Ila kwenye Bible mwanamke ali elekezwa kujipamba kwa ajili ya Mumewe,Sasa hili ya mwanaume kujipamba mpaka kwa mikufu na vishaufu sijui ampendezeshe nani,aah! haya vijana watanashati.
 
Ndo darisalama hio.. Huko huwa sasa hivi jinsia zina evolves...
 
Back
Top Bottom