Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Kha..!!Hajaolewa tu bado?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kha..!!Hajaolewa tu bado?
Wewe hakuna mwanaume mrembo bana.jamaa ni mrembo sana........
[emoji46] [emoji46] aiyaaaaaaaaaaa.View attachment 333987
'"Weekend iliyopita nilialikwa kwenye Part na rafiki zangu waishio mji wa NOTRHAMPTON ambao upo umbali wa kama masaa 2 kwa gari kutoka apa London UK. kwakweli nimeufurahia ukarimu wao waluionionyesha kwani wengi wao walikuwa wananisikia tu kwa jina lakini hatukuwahi kuonana 'LIVE' so ilikuwa ni furaha kwa wote kukutana, na walikuwepo watu wa aina mbalimbali kwenye Part hiyo kwa ajili ya chakula na kinywaji na kila mtu alijishebedua atakavyo!" ( By Kinyaia)