Ben Kinyaiya

Ben Kinyaiya

Omw....what if kama huyu mtu si shoga kama mnavomsema jamani?? He must be hurt badly...uyu kiumbe keshawai hojiwa na kukana jambo hili, na hatujawai sikia hata hao mabwana zake! Kututhibitishia!! Tuache kujudge watu kwa mambo ya kusikia jamani!:.
....

wengi ni marehemu...lolz!
 
Omw....what if kama huyu mtu si shoga kama mnavomsema jamani?? He must be hurt badly...uyu kiumbe keshawai hojiwa na kukana jambo hili, na hatujawai sikia hata hao mabwana zake! Kututhibitishia!! Tuache kujudge watu kwa mambo ya kusikia jamani!:.

Turudi kwenye topic kwa kweli i dont support either side..ni kawaida watu kupiga picha na celebrities kwanini kuzuia kwa kuzalilisha watu namna hiyo!!..sipendi kuzalilishwa wala sifurahii mtu mwingine akifanyiwa ivo!!..
Then again ben..what was that for????mnawapa vichwa sana hao kina drogba! Watu wenyewe wana dharau! Yani wachezaji wetu walikuwa wakiwagusa tu timu nzima inakasirika jamani! Mbona football ni kawaida kusukumana?? Yani nakwambia timu kubwa za ulaya zikija hapa Tz..aziwezi/azikufanya dharau but shida africans!! Wanajiona wako juu sana kuliko sisi yani walikuwa wanawajia juu utafikiri wanacheza na watoto! Sitashangaa nikikuta kwenye vyombo vya habari wakiiponda timu yetu!....
hayo mambo ya kusukumwa na kukasirika ni ya kawaida ktk mpira wowote duniani kutokana na tension ya mechi n.k
hata mechi ya yanga na simba huwa kunakuwa na vurugu ndogo ndogo za hapa na pale.
wote tulikuwepo uwanjani tena karibu na wachezaji ,drogba alikuwa very fair tena mpole sana ,tena drogba akicheza mechi za africa anakuwa mpole kuliko akicheza mechi za ulaya sababu kule ulaya kuna ubaguzi na uonevu
tena wachezaji wa tanzania ndio walikuwa wagomvi na kucheza rafu za kijinga na za kupania zisizo na faida na kubisha bisha kusiko na mpango wakiongozwa na nsajigwa,mpemba aliyecheza kiungo(jina simjui),jabu na joseph.
tuwasifie waafrika wenzetu wenye maendeleo ya soka tuache wivu na dharau za kitanzania.
hata ivory coast wakionyesha ufundi wa kucheza tuwasifie sio kwa sababu ni wageni tuwazomee
 
Ndugu...hayo ni mawazo yako na mimi ni yangu..kwamba dharau na wivu za watanzania????? Fyi..i care less about football..ningeheshimu mawazo yako ulivoanza hapo juu mana ningesema may be sababu nimeangalia kwa luninga na wewe ulikuwa uwanjani karibu zaid...but the last part speaks volumes of ones behaviour!! Wivu kwa drogba utaniongezea nn mimi???...give me some space plizzzz...
 
Akome yule bishoo!

We kijana wa kiume umevaa mahereni, umejichubua, utawezana na vurugu za mtaani za watu wa uswazi, tena waliopagawa na maisha?

Apishe watu wenye shughuli zao, yeye akauze sura kwenye ma-media huko!....wai!
Mkuu Sidhani kama suala la kujichubua lina ukweli wowote,mwanaume kuvaa heleni sioni kama kuna tatizo lolote pia sidhani kama ni jambo la busara kumjudge mtu kimuonekano...(kwa nchi zilizoendelea mfano SWEDEN,waziri wake wa fedha anavaa heleni na tena sio moja na respect yake iko palepale)nafikiri mambo ya kumjudge mtu kijuu juu yamepitwa na wakati. Na wala kuwa kijana wa uswazi mwenye vurugu na tena aliyepagawa na maisha pia sidhani kama hiyo ni sifa,hoja yenyewe naona kama imekuwa presented kiumbea zaidi ya reallity..Je tendo zima lililotokea ni sawa kweli?je ni kosa la nani? inawezekana ni kosa la masecurity kwakuwa security wetu wengi upeo wao wa akili ni mdogo sana kwahiyo wao kutumia nguvu zaidi ya akili ni jadi yao...nafikiri kumsukuma Fun na kuanguka si suala la busara na pia sidhani kama limemfurahisha hata Drogba mwenyewe pia..Mi nafikiri hao security wawe wanaisoma crowd na kuzuia badala ya kusukuma tu ili kuonekana una nguvu...Pole sana kinyaiya Siyo kosa lako.
 
Hii post naona imekaa ki umbea zaidi!! Drogba ni superstar hata angekwenda china lazima watu watakuwa excited, kilichomkuta Ben chaweza mkuta mtu yeyote anaye thamini,penda,furahia,heshimu na hanawivu. Nadhani kunavitu binafsi hapa kati, Hebu tujikumbushe kdg; katika nchi hii nani alikuwa maarufu zaidi ya Mzee ruksa alipokuja Michael Jackson? Nini kilitokea uwanjani? Itakua huyo Ben! Nadhani hoja ya msingi ingekuwa hao security.
 
Vyovyote vileee ........... angeuliza kupiga picha na drogba kuna utaratibu gani..........??? Pengine asingesukumwa au angeghairi kabla ya kusukumwa
 
Aache na yeye kuparamia wanaume wenzie, ndio maana hata watu wanatilia mashaka nyendo zake
 
Wana Jamii Forum, mimi nakerwa sana na haka katabia ka kudiscuss personal issues au personality ya mtu. Let's be fair - mimi sidhani kama madhumuni ya kuanzisha hii forum yalikuwa ni hayo - Let's educate people and not to destroy - kila mtu ana mapungufu yake. Hakuna binadamu aliye kamili - am sorry if am misbehaving ....
 
Jamani hivi tutaendelea kweli kwa mpango huu???Tuache mambo haya ya kukaa na kuita watu mara mashoga,mara bwabwa mara sijui nini....Je mnaosema kwamba Ben ni shoga je mnaweza kuweka kithibitisho??.......Nadhani yeye ndio alivyojipangia maisha yake...Wamarekani wangapi wanajichubua kuvaa heleni lakini hamuwadiscuss humu ndani..Kweli watu wasiokuwa na kazi za kufanya ndio matokeo yanakuwa hivi...Vile vile tukumbuke hatuwezi kumpangia mtu life yake....Nawakilisha!!
 
wambeya wa zamani nimewakumbuka kweli kweli!
 
aibu gani sasa, drogba ni nyota, watu kutaka selfie nae kawaida, walinzi ndio hawakuwa wastaarabu
 
Back
Top Bottom