Ben mkapa high school

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Jamani naomba maelezo kwa anaeifahamu vizuri shule hii, ina comb zipi na ada yake na ubora wake
 
hiyo ni shule ya serkali ada ni elfu 20 tu, kombi zpo nyng tu hapo shulen
 
Ada ni kama shule nyingine za serikali ambayo ni sawa na hela ya kukodi tax toka kariakoo hadi buguruni (sh 20000). Combi almost zote zipo kasoro cbn, pgm,etc.
- shule ni kama chuo hakuna wa kukufuatilia ni wewe na maisha yako.
- Div one zipo pia zero hazikosekanagi miaka yote.
- kuingia shule muda wowote ila kutoka saa 8:40 mchana.
- warembo wengi sana.
Unakaribishwa.
NB: Kufaulu hakutegemei shule, ni juhudi za mwanafunzi husika.
 


yeah dats very truee
 
ada ni 69000 advnc ipo vizuri advance kama umechaguliwa hapo nenda walim wanafundisha tena kwa moyo comb zote zipo poa but kwa ushaur wang nenda arts.........mimi ni product ya pale advance xo naushaur uende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…