teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Jamani naomba maelezo kwa anaeifahamu vizuri shule hii, ina comb zipi na ada yake na ubora wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ada ni kama shule nyingine za serikali ambayo ni sawa na hela ya kukodi tax toka kariakoo hadi buguruni (sh 20000). Combi almost zote zipo kasoro cbn, pgm,etc.
- shule ni kama chuo hakuna wa kukufuatilia ni wewe na maisha yako.
- Div one zipo pia zero hazikosekanagi miaka yote.
- kuingia shule muda wowote ila kutoka saa 8:40 mchana.
- warembo wengi sana.
Unakaribishwa.
NB: Kufaulu hakutegemei shule, ni juhudi za mwanafunzi husika.