GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,880
- 11,134
Wanabodi,
Kuna mapengo hayazibiki mfano la mwimbaji na mtunzi nguli Captain John komba ndani ya ccm kwa nyimbo zake na tunzi ndivyo kwenye lugha ya kiingereza hasa kwa watanzania Ben Mkapa alikuwa mwamba wa lugha ya kiingereza kimataifa
Kama kuna kitu ambacho alikuwa nacho au kipaji au uwezo wa lugha ya kiingereza basi Ben Mkapa atakumbukwa sana
Ben alikuwa mwamba wa English,Ben akiwa kijana akiongea kiingereza ulikuwa huwezi fikiria kuwa huyu mtu anatoka Africa au amezaliwa Africa
Ben Mkapa aliwafanya wazungu wajifunze kwake lugha ya kiingereza
Hata umri ulipomtupa mkono Ben Mkapa alibaki na misingi ya lugha ya kiingereza
Ben akiongea kiingereza hata Mwalimu Nyerere alitikisa kichwa kukubali Ben ni mwamba
Tangulia kwa amani Ben Mkapa hakika hotuba zako umoja wa Africa na umoja wa mataifa zitabaki kumbukumbu