Ben Mkapa mwamba wa lugha ya Kiingereza

Ben Mkapa mwamba wa lugha ya Kiingereza

Huyu jamaa n Mbongo kweli!??
Sio Mbongo tu, bali mhehe kutoka Tosamaganga Iringa. Nimeattach video nyingine hapo hapo nenda kaangalie nayo kisha uone profesa wetu alivyo wa kawaida kwa huyu mzee ambaye hata ye mwenyewe anakiri wazi lile yai la mzee wakiwa sekondari kule Tosa liliwavutia sana na kuwafanya watamani kufika mbali.
 
Kule alisoma tu ila kwao Morogoro maeneo ya kilosa
 
Tungepata na clip video ya mzee Ben akitema yai
 
Hakika hutojuta kumsikiliza the late Mahiga kwenye tasnia ya kuvunja yai. Huyo profesa wetu ni wa kawaida tu sema he's bold and confident.
Watu wameanza kujadili Kiingereza cha mama
 
Mkapa na mwalimu ndio marais pekee wa Tanzania waliokuwa wanaulizwa maswali ya papo kwa papo ULAYA na wazungu mbele ya kamera na wanayajibu sawia.
 
Anamwaga English mpaka basi.....
... tatizo lake alikosa haiba ya bashasha; muda wote kufokafoka haikuwa haiba nzuri kwake. Mlinganishe na Mwl. Nyerere, mnaweza kudhani anatania kumbe ndio tangazo la vita limetolewa hivyo!

Huku akiwa na bashasha tele, mbele ya makamanda huko Songea, RTD iliripoti moja kwa moja akitamka; "Sababu ya kumpiga (Nduli) tunayo; nia ya kumpiga tunayo; na uwezo wa kumpiga tunao". Dakika chache baada ya phrases hizo tatu, maiti zilianza kuonekana kule mpakani, by then Ziwa Magharibi na Uganda.
 
Hakuna kitu, waafrika wote wakiongea kiingereza wanasound kama watu fulani dumb
 
Back
Top Bottom