Sio Mbongo tu, bali mhehe kutoka Tosamaganga Iringa. Nimeattach video nyingine hapo hapo nenda kaangalie nayo kisha uone profesa wetu alivyo wa kawaida kwa huyu mzee ambaye hata ye mwenyewe anakiri wazi lile yai la mzee wakiwa sekondari kule Tosa liliwavutia sana na kuwafanya watamani kufika mbali.Huyu jamaa n Mbongo kweli!??
Kule alisoma tu ila kwao Morogoro maeneo ya kilosaSio Mbongo tu, bali mhehe kutoka Tosamaganga Iringa. Nimeattach video nyingine hapo hapo nenda kaangalie nayo kisha uone profesa wetu alivyo wa kawaida kwa huyu mzee ambaye hata ye mwenyewe anakiri wazi lile yai la mzee wakiwa sekondari kule Tosa liliwavutia sana na kuwafanya watamani kufika mbali.
Ben Mkapa aliwafanya wazungu wajifunze kwake lugha ya kiingereza
... tatizo lake alikosa haiba ya bashasha; muda wote kufokafoka haikuwa haiba nzuri kwake. Mlinganishe na Mwl. Nyerere, mnaweza kudhani anatania kumbe ndio tangazo la vita limetolewa hivyo!Anamwaga English mpaka basi.....
Aah! hapanaBen Mkapa aliwafanya wazungu wajifunze kwake lugha ya kiingereza