Ben Paul agombana na mwandishi wa EATV, baada ya kubanwa kuhusu habari za 'shemeji'

Hapo ndipo ninapompendea Ben Pol. Watu hatujamfahamu kwa sababu ya familia Bali tumemfahamu kupitia muziki. Familia yake ni mambo yake binafsi.

Kuna waandishi wanakera, anakuuliza mambo ambayo ni personal anasingizia mashabiki.
 
umesahau huyu huyu alifunguka sana maswala ya familia baada ya kupiga denda na snura?
 
Mbona alivyopiga denda na snura fiesta kila akitafutwa alikuwa anafunguka na kuelezea mkewe alijisikiaje! Na wengine walimtafuta na mke wake wakawa wanamhoji kuhusu hizo issue kama wanaishije!
Kwanini hakupanic?
Leo ndio hataki kuhojiwa!
bora mzee umeongea ww maana naona kuna vtto vingne vnaropoka tu umu cjui madale cjui nn wkt uyo benpol mwenyew ni kick master....sema hakua kwny mood tu ya masuala ya familiaa ila sio kwmb ana uprivacy wwte
 
Kwa hiyo uelewa huyu mwanahabari una hitilafu au nini? Yaani mtu kaweka wazi hajisikii huru kuongelea mambo ya familia yeye ndio kama anachochewa kuyauliza. Watu hawana nidhamu kwa taaluma zao.
 
Ben Paul ali loose cool baada ya mwandishi kumuuliza kuhusu habari za mpenzi wake na mtoto wake ila Ben Paul hakutaka kuyazungumzia na kutaka aulizwe kuhusu mambo ya kazi zake za music, mwandishi huyo aliendelea kumkazia ndipo jamaa akacharuka na kuanza kugombana nae.

Ben Paul nae hataki kiki kama za Diamond?? Maana ndio vinavyowaongezea umaarufu kubadilisha mademu maarufu, kutupia picha za familia na habari za familia instagram

Hakuna kitu kama hataki kiki,umei-define vibaya io kitu ya kuitwa "kiki." nawaza tu!!
 
Hahahahahaaaaa Ben kaniacha hoi sana.
Ila ana point.
 
Ben Paul ali loose cool baada ya mwandishi kumuuliza kuhusu habari za mpenzi wake na mtoto wake ila Ben Paul hakutaka kuyazungumzia na kutaka aulizwe kuhusu mambo ya kazi zake za music, mwandishi huyo aliendelea kumkazia ndipo jamaa akacharuka na kuanza kugombana nae.

Ben Paul nae hataki kiki kama za Diamond?? Maana ndio vinavyowaongezea umaarufu kubadilisha mademu maarufu, kutupia picha za familia na habari za familia instagram

Ndio sample ya maandishi ya habari ya hapa kwetu......ndio maana wametungiwa sheria yakuwabana
 
Ben Paul ali loose cool baada ya mwandishi kumuuliza kuhusu habari za mpenzi wake na mtoto wake ila Ben Paul hakutaka kuyazungumzia na kutaka aulizwe kuhusu mambo ya kazi zake za music, mwandishi huyo aliendelea kumkazia ndipo jamaa akacharuka na kuanza kugombana nae.

Ben Paul nae hataki kiki kama za Diamond?? Maana ndio vinavyowaongezea umaarufu kubadilisha mademu maarufu, kutupia picha za familia na habari za familia instagram

ndio nimeamini huyu jamaa anakula sembe(unga)
 
Ben Paul ali loose cool baada ya mwandishi kumuuliza kuhusu habari za mpenzi wake na mtoto wake ila Ben Paul hakutaka kuyazungumzia na kutaka aulizwe kuhusu mambo ya kazi zake za music, mwandishi huyo aliendelea kumkazia ndipo jamaa akacharuka na kuanza kugombana nae.

Ben Paul nae hataki kiki kama za Diamond?? Maana ndio vinavyowaongezea umaarufu kubadilisha mademu maarufu, kutupia picha za familia na habari za familia instagram

Mkuu unadhani usingemweka Diamond kwenye huo Uzi wako usingepata kiki?
 
Back
Top Bottom