Uwezekano wa Jide kupotea ni mkubwa zaidi ...
"Ukiwaza kutumia akili kamwe huwezi kukosea, ila utakapotumia hisia lazima ujikanyage somewhere. " . Kaka kwako hili sio tusi?. Fungua machom huwezi kuona kitu chochote kama umefumba macho.
Jotohasira! Hivi huyu ben pool kwa hiyo anasema jyde hatumii akili? Aisee hila si mbaya maana lazima awafate maana wana msomesha! Ni wazi inawezekana hawakuja sababu walikatazwa na Ruge!
Sijaona matusi bado hapo
Kaka hata mimi natamani iwe kama unavyo fikiri, personally , am totally against what Clouds have been doin to our artists, nimeongea kutokana na experience yangu, wasanii wengi sana wamepotezwa na Clouds tena kimchezo mchezo ( Do I need to talk about it ? ),
Huu wimbo Zembwera Beberu anaupiga sana.