Ben Paul ajibu Shutuma za Lady Jay Dee

Ben Paul ajibu Shutuma za Lady Jay Dee

Mlizidi kuwasikiliza hao clouds wenu, sasa hivi wana wageuka mmoja mmoja!! Na bado, wakati sisi tunaungana kama VINEGA mlituita wahuni...!!!! Ant Virus ndo mpango mzima!
 
Hata ningekuwa mimi huo wimbo nisingeupiga kiivyo, ni wa kawaida sana tofauti na nyimbo nyingine za JD tunazozijua.
Af kwani redio ipo moja tu? Wasipopigiwa na Clouds wanalalamika ina wasipopigiwa na redio nyingine wanakaa kimya.
 
Watu mnatoka nje kabisa ya Mada, ila mimi binafsi kwa hayo maneno aliyoandika Benpol sijaona tusi lolote, na nampa bigup haswa kwa wale watu wanapenda ku judge wengine...Mnatakiwa mkumbuke pia ni juzi kati tuu Jide ametoka kulalamika kuhusu hao majini mahaba wanamnjunja usiku, usikute yameanza kuingilia na shughuli zake nyingine za kimuziki...
 
Ukweli ni kwamba mmiriki wa clouds alikua marehemu alex kusaga. alipokufa akaachiwa mwanawe Joseph kusaga, joseph akamleta lafiki yake (sitaki kuulizwa ni urafiki gani) rugemalila akampa umeneja. ruge akaanzisha T. H.T. Tanzania House of Talent. So wanatumia nafasi hiyo kuwanyanyasa wasanii wasio Tht. Na huyo aliye mjibu jide katumwa na boss wake.
kwa ufupi clouds media inaongozwa na watanzania wanaojifanya wana asili ya marekani na wanatukuza umarekani zaidi ndo maana hawapendwi. wanadharau wabongo. mia
 
Clouds mbwabwa tu hao. Wote ni masshoga tu ndiyo maana wanakata viuno kama madondola.
 
Ukiweza kutumia akili?
Ukiwaza kutumia akili?
Hapa kuna matatizo ya matuzimizi ya lugha nawewe umeleta hivyo hivyo!

"Ukiwaza kutumia akili kamwe huwezi kukosea, ila utakapotumia hisia lazima ujikanyage somewhere. " . Kaka kwako hili sio tusi?. Fungua machom huwezi kuona kitu chochote kama umefumba macho.
 
Jotohasira! Hivi huyu ben pool kwa hiyo anasema jyde hatumii akili? Aisee hila si mbaya maana lazima awafate maana wana msomesha! Ni wazi inawezekana hawakuja sababu walikatazwa na Ruge!
 
Jotohasira! Hivi huyu ben pool kwa hiyo anasema jyde hatumii akili? Aisee hila si mbaya maana lazima awafate maana wana msomesha! Ni wazi inawezekana hawakuja sababu walikatazwa na Ruge!

kuna siku linah na barbabas walipata nafasi ya kufanya show kwenye bonanza lakini mwisho wa siku waliambiwa hela yote walopewa akabidhiwe ruge wakati kazi wametafuta wenyewe. hata tht wanabanwa kinoma ndo maana hawezi fanya kazi bila ruksa ya ruge. mia
 
Kaka hata mimi natamani iwe kama unavyo fikiri, personally , am totally against what Clouds have been doin to our artists, nimeongea kutokana na experience yangu, wasanii wengi sana wamepotezwa na Clouds tena kimchezo mchezo ( Do I need to talk about it ? ),

kama ni ivo angepotea SUGU..tena kitambo sana
 
Huu wimbo Zembwera Beberu anaupiga sana.


wimbo ni maalumu kwa ajili ya muhaya Ruge,na Prof ndio kamaliza kabisa hadi vesi yake ilistopishwa siku ya kwanza tu baada ya mashoga kuutafakari vizuri.......
 
niko upande wa Jide, mwanamke jasiri, makini, mwenye uwezo mkubwa na anayejipanga. siungi mkono mawingu FM, unyonyaji hauna nafasi tena katika maisha ya sasa..

weledi kwanza jamani, tujifunze kufanya kazi kwa kuweka tofauti zetu nyuma / pembeni kwa maendeleo ya ujumla. Nawachukia kwa chuki kali mawingu radio
 
what goes around comes around,also even Rome was'nt built in a day,naamini ipo siku pia watz wataichoka hii redio na itakosa umaarufu wanaoamini kamwe hautashuka,dhambi ya dhuluma zao lazima itawarudia,inshallah tuombe mungu na uzima
 
kama ni ivo angepotea SUGU..tena kitambo sana

Sugu alikwisha potezwa kitambo. I dont think kama still kuna wana watu bado wanasikiliza nyimbo za Sugu. Ashukuru tu Mungu amepata Ubunge, vinginevyo ingekuwa ni OSH KOSH B'GOSH!
 
Nilisoma kwenye MoBlog kuwa jide ana mpango wa kuanzisha redio steshen itaitwa KWANZA FM,,,,,
 
Back
Top Bottom