Ben Paul ajibu Shutuma za Lady Jay Dee

Ben Paul ajibu Shutuma za Lady Jay Dee

Kuna siku nilikuwa na wazazi kwenye gari mchana wanapiga story mimi naskiliza xxl mchana ila mchomvu na fetty wanabishana katikati ya mazungumzo mchomvu akamuambia fetty kwa utani panua paja gogo laja nilijutu kufungulia redio maana ilikuwa aibu kwa maza na mshua mpka sasa hivi nikipanda gari na watu wazima nahakikisha redio ipo redio one

teh teh teh....dha!!nacheka kama mazuri!! ulitamani utokee dirishan ukimbie...pole mkuu..
 
Back
Top Bottom